Uchaguzi 2020 Zitto mnafiki na ataenda motoni kwa kuwafanyia wenzake Huu Uhuni. Membe akija pata akili patachimbika

Membe akiongea unashangaa huyu jamaa kichwani yukoje... Havutii kabisa. Nadhani apewe kazi nyingine lakini asiwe anaongea.hana mvuto ,hana point. Nmeona akipata taabu huko zanzibar anaongea pumba tu. Hawezi changamsha au hamasisha.
 
Hakuna wanafiki kama wana CCM bro na wizi na kila uhuni nyie pepo mtaisikia tu
 
Kwahio wewe una akili zaidi ya Membe ya kugundua hilo ambalo yeye hajagundua
 
Membe akiongea unashangaa huyu jamaa kichwani yukoje... Havutii kabisa. Nadhani apewe kazi nyingine lakini asiwe anaongea.hana mvuto ,hana point. Nmeona akipata taabu huko zanzibar anaongea pumba tu. Hawezi changamsha au hamasisha.
Membe hajawahi kuongea vitu vya maana aisee.

Huyu si ndio alisema akipata urais ndani ya muda mfupi maadui zake watakimbilia Kenya(wakina Mo Dewji na wengine)?

Na Membe anamuogopa jiwe balaa hata kutaja tu jina lake hua hawezi kabisaaa,sasa Kampeni hizi watu wanataka kusikia mtu anawekwa kati anapewa madongo yake kisawasawa sijui Membe ataongea nini hapo,jamaa ni bure kabisa huyo.

Jamaa kama ni project ya kitengo wajue wanaliwa pesa zao tu.
 
Kichwa cha habari na utumbo havihusiani kbs - wapi Membe kahujumiwa? Yupo mwanasiasa asiyejua kwamba siasa ni mchezo ubadilikao?
 
Mnahangaika na Zitto hizo ndo hulka zake nawashangaa mnahangaika na huyo mtu chama ni CDM tu hata Kama kuna kasoro ndogo ndogo zitarekebishwa.Zitto is after business.To him money is the first slogan.
 
Watu wa KG sio wa kuwaamini hata Ponda azijamtembelea tu wao ufanya uanaharakati njaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…