Zitto - Msimamo wake kuhusu katiba mpya

zitto uko sahihi,kiongozi yeyote lazima uwe na maono ya mbali sio tu kushika dola wakati huu!
 
Zitto yuko Sahihi kabisa!mungu awanyime nguvu wote wanaotaka serikali mbili
 
Bado kuna watanzania wanamsikiliza zzk?
 
Bado kuna watanzania wanamsikiliza zzk na pumba zake?
 
Zittooooooo,aah Yudaaa iskarioti si uje humu Jf kwa maGT mbona umeng'ang'nia fb kwa vilaza huko. Hakuna jambo lisilokuwa na mwisho,tamaa mbaya kuliko shetani katka dunia hii.
 
Bado kuna watanzania wanamsikiliza zzk?

mkuu an intellectual person hata point akiongea adui anaifanyia kazi ,umemdiscuss ZZK badala ya hoja au hoja aliyoitoa ni mbaya kwako?na kama mbaya linganisha na msimamo wa CDM katika muungano ni upi?
 
Kila mtu ana msimamo jamni.Lazima tupate mwafaka wa kitaifa kwa maslahi mapana zaidi.
 
Kwani ZZK ameingia kwenye bunge la katiba kupitia kundi gani?
unamatatizo wananchi wa kg kaskazn wanawakilishwa na nan? tnamuhitaj na tutampa support, na nyie wachaga endeleen kuwadanganya wananchi kwa kuahid msivoweza kutekeleza mara mnapinga matumiz mabaya ya serikal hasa posho kumbe mkifika bungen wakwanza kunyosha mikono. ZZK msimamiz wa akisemacho. BIG UP, mwambien lema naye aweke waz kutopokea posho bunge maalum
 
suorce FB profile yake(ofisi ndogo)

Hapa tu ndo nimecheka! Kumbe FB au Twitter yaweza kuwa ofisi? Wacha na mimi nifungue ofisi WhatsApp.

Ndo maana vijana wa Lumumba hawabanduki JF nimegundua kumbe ni ofisi yao ya kuwaingizia buku 7!!!
 
anatutafakarisha kwa matamko mepesi mepesi
 
zitto hana jipya swala la katiba ccm ndo wameshavuruga ndo maana wamejaza wajumbe wa ccm lakini mm nasema ccm kifo chao kimeshakaribia

Usiruhusu kushikiwa akili zako dogo..........!jadili hoja usilete mambo ya kina Yeriko na Ben na Siasa majitaka za kujadili watu
 
Huyo Zitto KAFULIA KWELIKWELI. Hivi na kusoma kote madegree anaongea uozo huu....😕
Kasema CCM wameweka msimamo wa serikali 2. Mbona hajasema CHADEMA WAMEWEKA MSIMAMO WA SERIKALI 3:what::what::what:
AACHE UNAFIKI
 
Practically this is what the truth is...my brother Zitto your views are true and shows that you are so brilliant...but this looks a bit contrary to the allegations already on you. If you dont have a patriotic heart then you have little to help a state struggling state like TZ...you views and influence is important anyway
 
Ninachona hapo, hoja zijibiwe kwa hoja. Upande utakaoshinda ueshimiwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…