Zitto - Msimamo wake kuhusu katiba mpya

Zzk ni shupavu natakuwa shupavu kwa tarifa yako ninakupa tu zzk ataendelea kuwa mbunge hadi bunge litakapo futwa na hata gombea tena kupitia cdm na siopekeyake wapo wabunge 15 wataongozana nae na tutashinda kupitia chama chochote kile na bado mtaangaika sana mtakavyo kufa kila mtu hatapnekana tena humu jf nyambafu
 

mm zito kabwe lazima ni bhsha wako
 
Prof Abdalla Safari alizungumza Star Tv, akasema CCM hawajali juu ya serikali tatu ama kumi wanachokifanya ni kucheza na akili za watu wanaacha kuangalia mambo mengi mabovu yaliyopo kwenye Rasimu na kutolea macho kwenye suala la serikali.
Akatolea mfano wa Tume ya uchaguzi, anasema bado ina mambo yaleyale sio huru raisi anateua wajumbe wengi na kuifanya chama tawala kiendelee kubaki madarakani.
Akatoa quote ya Dikteta mmoja aliyesema kuwa hawaogopi wapiga kura, ila anawaogopa wanaohesabu maana wanaweza kumtangaza yeyote kuwa mshindi.
 
Hata viongozi wa dini wanaitaka serikali mbili na huo ndiyo msimamo wao, CHADEMA hawawezi kuwa msimamo kwa sababu ni SACCOSS

Viongozi wa dini? Akina nani hao?
 
Zitto ndiye mtetezi wa kweli hata kama cdm hamumpendi.
 
Matusi ya nini we jamaa hivi unadhani utashinda kwa matusi yako hayo cdm jifunzeni ustaarabu.
 
bado kuna raia wanamfuatilia Zitto?
tupo wengi. ni wewe tu na kafamilia kenu kawahafidhina kanakowajibika kwa hayatulah mtei wa tengeru ndo hamfuatilii ishu za Zitto kwa sababu ya chuki zetu.
 
tupo wengi. ni wewe tu na kafamilia keni kawahafidhina kanakowajibika kwa hayatulah mtei wa tengeru ndo hamfuatilii ishu za Zitto kwa sababu ya chuki zetu.

inatia raha kuona zito kabwe anashabikiwa na maccm na wana uhakika wa kura ya serikali mbili toka kwa zito kabwe
 
leo asubuhi David Kafulila amehojiwa idhaya ya kiswahili ya radio ufaransa,amesema ilitakiwa kwanza wananchi wapige kura ya maoni kwanza,juu ya muundo wa serikali wanao utaka ili baadaye ndio tufuate kitendo cha kuandika katiba mpya
 
Kijana kishazeeka kabla ya uzee. Anaweza toa point lakini asisikilizwe kutokana na undumi la kuwili wake. I don't trust him any more because he is double standard. Atafute kingine cha kufanya pengine ataeleweka.
 
inatia raha kuona zito kabwe anashabikiwa na maccm na wana uhakika wa kura ya serikali mbili toka kwa zito kabwe
niondolee balaa hapa. Nani CCM? au wewe unadhani kila asiyetumia mbege ni ccm?
 
zito mzalendo wa kweli sio wanaotumia posho za chama kuhonga mahawala..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…