The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Kuna kauli zinatoka na zinahitaji kuungwa Mkono na kila mtu au kupingwa na kila mtu.
Binafsi niliposikia Magufuli anasema uchaguzi wa kura za maoni CCM uwe huru na wazi nikaona hii kauli ya kuungwa mkono na kila mtu. Na vyama vya upinzani pia viunge kwa vitendo na kwa maneno kauli hii.
La kushangaza ni kimya kabisa.
Ni matumaini yangu chaguzi za ndani za vyama vya upinzani zitakuwa free n fair, pia kama ilivyotokea CCM hata kama kasoro zilikuwepo.
Kauli ya Mzee Mwinyi kuwa Rais Magufuli apewe miaka mingine ya shukrani ilipaswa kulaaniwa na kupingwa na kila mtu. Cha ajabu pia ni ukimyaa kabisa wa vyama vya siasa, ajabu sana.
Why huu ukimyaa? Kuunga mkono kiimya. Kupinga pia kimyaa, why?