johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Naibu katibu mkuu wa zamani wa Chadema Zitto Kabwe amesema MBWA akikaribia Kufa hupoteza uwezo wa Kunusa na NYOKA akikaribia Kufa hukimbilia barabarani
Kwanini Zitto Kabwe katumia mfano wa MBWA na NYOKA tuliache kuwa fumbo la Imani
Ahsanteni sana 😂😂
Kwanini Zitto Kabwe katumia mfano wa MBWA na NYOKA tuliache kuwa fumbo la Imani
Ahsanteni sana 😂😂