Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Ukisikia dola ujue na mahakama imoNaona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga.
Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
Naunga mkono hojaUdini alionao zito unazidi ugaidi
Ni mdini sn ZittoZito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Kuna hoja juu ya madai ya zito, usiende nje ya mada. Tutajua tuZito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Jibuni hoja zake msikimbilie kujificha kweny kivuli cha udini!! Zito ana hoja jibuni hoja zake, mamb ya udini anzisheni uzi!!Udini alionao zito unazidi ugaidi
Amesemaje huko?Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga.
Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
Well, ushaur mzur sana ila hata hili waloanza nalo ni muhimu pia then wataendelea na hayo ya znz!! Lkn msipige vita hii hoja aliyonayo coz ni muhimu kwa ustaw wa Taifa na uwajibikaji.ACT ni mbia wa SMZ na Zitto ni Kiongozi Mkuu wa hicho chama.
Wangeonesha mfano kwa kuwafikisha kortini wauaji wa Uchaguzi Mkuu 2020 huko Zanzibar.
Uchaguzi Tanzania 2020: Upinzani wadai watu 8 wameuawa Zanzibar, polisi yakanusha kutokea mauaji - BBC News Swahili
Watu wanane wanadaiwa kuuawa katika visiwani Zanzibar kufuatia ghasia za uchaguzi, kinaripoti chama kikuu cha upinzania visiwa humo, madai ambayo hata hivyo yamekanushwa na polisi.www.bbc.com
Mbona umeandika kama vile huna kichwa!?Zito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Correction; sio shimo ni kaburi secondly Zitto bado hajafaZito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi??
Atoe wapi kichwa? Hemu kuwa serious basi. Hapo kuna kiwiliwili tu kichwa kimeoza huko chatoMbona umeandika kama vile huna kichwa!?
Pamoja na kuwa utawala wa mwendazake kuwa na mabaya yake, lakini ni vyema kwa kiongozi ampingaye akiwa kama fanani kuchagua maneno ya kuongea pale wanapokuwa wakiwasiliana na hadhira. Ni vyema kutambua mambo yaliyofanywa na JPM bado yapo vichwani mwa watu wengi.Naona huko twita anapost bila hata kuficha kitu. Anadai kuwa Akina Ben, Azory na wengine wengi ni wahanga.
Kwa hiyo kama ndio hivi wahusika watakuwepo mitaani huu ndio wakati wa kuwapeleka kortin.
Aaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaaTunamuandama Magufuli kwasababu sio muslim mwenzetu
Udini sio issue hapa magufuli hakustahili kuishiNi mdini sn Zitto
Ni kweli lakini mbona utawala huu yupo kimya?Udini sio issue hapa magufuli hakustahili kuishi
Hata mimi ni msukuma...nlichukizwa sana na ule urafk wake na Bashite na Sabaya. Urafk wa kuumiza watuAaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaa