U utah jazz JF-Expert Member Joined Jul 21, 2021 Posts 1,816 Reaction score 3,993 Apr 23, 2022 #21 Dialo anajikomba anamadeni ya kodi Kikubwa magufuli sio muislam mwenzetu lazima tumdhalilishe mliberali said: Aaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaa Click to expand...
Dialo anajikomba anamadeni ya kodi Kikubwa magufuli sio muislam mwenzetu lazima tumdhalilishe mliberali said: Aaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaa Click to expand...
Wildchild JF-Expert Member Joined Aug 29, 2018 Posts 19,411 Reaction score 21,938 Apr 23, 2022 #22 Kiturilo said: Zito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi?? Click to expand... Ila wewe jiandae kwani anakupenda
Kiturilo said: Zito Kabwe hakuzikwa shimo moja na mama yake kwa hiyo alikuwa hampendi?? Click to expand... Ila wewe jiandae kwani anakupenda
ACHIKOYO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 312 Reaction score 352 Apr 23, 2022 #23 utah jazz said: Udini alionao zito unazidi ugaidi Click to expand... Kumsema Jiwe ndio udini? Mnafikiri ataacha mkusema kwa kum-attack kwa design hiyo.
utah jazz said: Udini alionao zito unazidi ugaidi Click to expand... Kumsema Jiwe ndio udini? Mnafikiri ataacha mkusema kwa kum-attack kwa design hiyo.
ACHIKOYO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 312 Reaction score 352 Apr 23, 2022 #24 Kinyungu said: Zitto ajibiwe hoja zake. Kumtuhumu kuwa ni mdini ni kuonesha kuwa wanaotuhumiwa ni wahusika kweli na wanaogopa anachokisema Zitto Click to expand... Wakijibu kwa hoja nitag mkuu.
Kinyungu said: Zitto ajibiwe hoja zake. Kumtuhumu kuwa ni mdini ni kuonesha kuwa wanaotuhumiwa ni wahusika kweli na wanaogopa anachokisema Zitto Click to expand... Wakijibu kwa hoja nitag mkuu.
ACHIKOYO JF-Expert Member Joined Mar 21, 2022 Posts 312 Reaction score 352 Apr 23, 2022 #25 utah jazz said: Tunamuandama Magufuli kwasababu sio muslim mwenzetu Click to expand... Msituchonganishe, tuangalie hoja zinazoletwa, Lissu, Gwanda, Ben Saanane hawa sio Waislamu, unafikiri wazazi na ndugu zao watampenda Magufuli kwa vile magufu ni mkristo tuleteeni hoja sio brabra.... zenu.
utah jazz said: Tunamuandama Magufuli kwasababu sio muslim mwenzetu Click to expand... Msituchonganishe, tuangalie hoja zinazoletwa, Lissu, Gwanda, Ben Saanane hawa sio Waislamu, unafikiri wazazi na ndugu zao watampenda Magufuli kwa vile magufu ni mkristo tuleteeni hoja sio brabra.... zenu.
B Bushesha jr JF-Expert Member Joined Apr 26, 2020 Posts 675 Reaction score 690 Apr 23, 2022 #26 mliberali said: Aaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaa Click to expand... Magu anasingiziwa ukichaa kwa sababu ya wema wake
mliberali said: Aaha wapi! hata wasukuma wenzie kina dialo wanasema alikuwa kichaa Click to expand... Magu anasingiziwa ukichaa kwa sababu ya wema wake