mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Badala ya kuendeleza harakati ya kudai katiba mpya, wanataka wa onekane eti wana huruma unafiki mtupu.Kiongozi wa Act -wazalendo na mwenyekiti wa nccr mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia
CCM wanafiki Sana huyu Zitto akichambua bajeti mnamchukia
Hiyo sayansi umeiona wakiwa wamemtembelea Gaidi
Badala ya kuendeleza harakati ya kudai katiba mpya, wanataka wa onekane eti wana huruma unafiki mtupu.
Mpango ukilenga kitu gani hasaHao jamaa kumtembelea Mbowe unaweza kuwa mpango wa CCM pia!
Tumia akili uliyojaliwa kuwa nayo kichwani kuelewa maana ya matukio.
Hawa kina Zitto wako kimya sana utadhani katiba ni swala la CHADEMA peke yaoKiongozi wa Act -wazalendo na mwenyekiti wa nccr mageuzi ndugu Mbatia wamemtembelea mbowe na kumtia moyo juu ya mapambano ya demokrasia.
Walimtembelea katika gereza la ukonga na mh, zitto akachukua nafasi hiyo kumpa zawadi ya chakula cha ubongo
Chanzo Act -wazalendoView attachment 1879762View attachment 1879763View attachment 1879764
Mbona zipo mkuuPicha?
Mshenz mkubwa wewe, hao mamluki wa CCM ndo wapinzani? Labda wapinzani wa mume wako.
Ukiona adui yako anakusifia, jijue wewe no boya kabisa
Hujui Siasa Wewe Mamluki na Wapinzani Wa kweli huwajui
Kimtazamo wake na wewe endelea kumuona Mbowe malaika au nabii ya kuwa ipo cku atakuja kukumboa au kukupa Maisha mazur.Baruzuli mkubwa weweMshenz mkubwa wewe, hao mamluki wa CCM ndo wapinzani? Labda wapinzani wa mume wako.
Mbowe ni Mkombozi na nabii indirectly! Anachofanya kitakuwa na matunda kwa wakati wake, Kwa hiyo siyo lazima amkombowe jamaa kwa unavyotaka Wewe! Alafu kukumboa siyo kiswahili!Kimtazamo wake na wewe endelea kumuona Mbowe malaika au nabii ya kuwa ipo cku atakuja kukumboa au kukupa Maisha mazur.Baruzuli mkubwa wewe
Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
Picha?
Mbona umemsau CHEYO, na MREMA,? Lazima wawe marafiki zenu ,