Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.
Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?
kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?
Hii sio bure. Kuna kitu kinapikwa hapa.......
Tanzanianjema
Hivi ataendelea kutoa siri za kamati mpaka lini? maana kila akimaliza vikao asubuhi huyooooo anakimbilia kwenye fisi yake na timu yake pale Bungeni Dododma wanaingia JAMII FORUMS kumwaga upupu.
Hivi hiyo ndio Standard Operation Procedures za hizo kamati au za CHADEMA?
kusema ukweli mie mwenyewe napenda sana kusoma upupu lakini hamuoni hii inaweza ikawa na madhara baadae? lets say kila kitu kiko fine kisha akaingizwa kwenye kamati ya Ulinzi na Usalama je tunaweza kum count in huyu Zitto au?
GT majuzi tu hapa juzi katuwekea mkataba baina ya nssf na dr Masau bila ya ridhaa ya dr Masau, je wewe bw GT tukuiteje kwa kuingilia uhuru wa mtu na kuanika siri zake?, anyway hiyo haifanyi TWO wrongs to be right, lakini ni lazima unapotoa shutuma, jiangalie na wewe, under some circumstances una act vipi katika situation ambazo zinataka kufanana na zile unazowashutumu wenzio!
interesting....
Hivi hawa wapinzani esp wa CHADEMA hawasemwi eeh? Yaani kila kukicha asemwe JK na kundi lake tuu?
double standards
Zitto mwenyewe ni member humu na atakuja...time will tell

Tusubiri mwenyewe atakuja tuuu