Elections 2010 Zitto ndani ya kampeni..... Kazi ipo!

MasterMind

Senior Member
Joined
Aug 26, 2010
Posts
102
Reaction score
0
Zitto akisakata rumba katika kampeni huko Kigoma hivi karibuni......



 
UNAFANYA mchezo nini na kupata kura. unaweza cheza hata kiduku baabaaake na nyonga tetemeshi
 
aisee... aonekana anajua kweli kuyarudi magoma!! lol
 
Mwaka huu kazi ipo Makamba anayaweza haya, huku ndiko vijijini wanaposema Chadema haifiki.
 
aisee nimefurahi sana, naona mweshimiwa kaamua kuweka mafile pembeni na kukumbukia enzi zake za shule ya msingi, maana anayarudi kiuhakika. safi sana mh Zitto. Tumekosa Video tu lakini nahisi ilikuwa kati ya nyimbo kali za kiha - Mtu kwao bwana.
 
Mimi ni mgeni, nataka kupost habari nilizopata sasa hivi. Naanzaje?

Member
Join DateTue May 2009Posts33Thanks : 0
Thanked 13 Times in 6

Hizo 33 uliposti Vipi?
 
Kura noma. Ukimwambia acheze baada ya kampeni sijui kama atacheza kama alivyocheza.
Ha ha ha ha ha. Kazi na dawa!!!!!!!
 
Naona hiki kipindi cha uchaguzi kila mtu anataka kuwa Mohammed Dewji.
 









katika kuelekea 31 october mbuge machachali wa zamani zitto kabwa amegeuza jukwaa la siasa kuwa la mziki.
Ina mana zitto kaishiwa HOJA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…