Zitto: Sio kosa kuiandikia barua Benki ya Dunia isiipe mkopo Tanzania

Hilo siyo jibu sahihi. Taja kifungu cha sheria kinachozuia, usilete fıkra zako za kubuni
 
Hilo siyo jibu sahihi. Taja kifungu cha sheria kinachozuia, usilete fıkra zako za kubuni
Mtu kwa mfano kutokujua sheria, haihalalishi mtu huyo kutokuwa na hatia, tuseme kama imetokea amefanya jinai. Vivyo hivyo mimi vilevile kutokujua namba ya kifungu cha sheria kilichovunjwa, na ukizingatia kuwa mimi siyo mwanasheria, hakumaanishi kuwa hakuna kosa lililofanyika! Na ikitokea kweli akapelekwa mahakamani, hataachiwa kwa sababu eti Makanyaga au wewe unayeuliza namba ya kifungu, hatujui namba ya kifungu hicho kilichovunjwa. Kwa sababu ya namna hii hawezi kuachiwa huru, atachiwa huru kwa sababu zingine!

Hivi kwa mfano, wewe akija mtu nyumbani kwako halafu tuseme akakutukana na bahati mbaya ukawa hujui kosa la kutukana liko kwenye kifungu namba ngapi cha sheria, utasema kuwa huyo mtu hajakutendea kosa, kisa tu hujui kifungu cha sheria alichovunja? Humu JF kwa kweli siku hizi kuna vioja vingi sana!
 
Jaribu kutafuta mfano hai hapa unajaribu kulazimisha vitu viendane wkt ni inshu mbili tofauti, zitto haombi mkopo angekuwa anaomba mkopo binafsi huu mfano ungefiti hapa
 
Kwa maneno yako yasivyokuwa na busara nadhani na wewe utakuwa mmoja wa mashoga
 
Mara ngapi tunaona masenata au representative wa Marekani wanatumia headed letter za mabunge yao. Waache ushamba
Dah!!

Katiba yetu kama sheria mama na sheria,kanuni na taratibu nyingine zinafanana na za Marekani mkuu?
 

Akisafili anatumia passport ipi? kama mbunge au kiongozi ACT???? mbili yake mbona Jiwe uwili huu hana au nchi hii ni double standard. wajibu hoja ya barua waachane na nani kaandika.
 
Acha kuandika mambo ya kufikirika, Mahakama huhukumu watu kwa vitu viwili; (1) Sheria (2) Ushahidi

Kama huwezi kuweka kifungu hizo ni bla bla, kaa usome ujifunze mambo ya wataalamu
 
Maadam hamjaomba original letter kutoka WB aliyoandika Zitto basi kelele zenu kwamba katumia letter head ya Bunge ni kelele za chura hazimpati mwewe.

Kisheria unapotuhumu kitu ndani ya barua unawajibika kuwa na original copy. Hivyo, mkitaka na mkaweza ombeni WB muwaambie mnataka kuitumia kumnyoosha Zitto kisha wawape mumnyooshe.

Vinginevyo, acheni umbumbumbu kwa mambo msiyoyajua waziwazi.



 
Acha kuandika mambo ya kufikirika, Mahakama huhukumu watu kwa vitu viwili; (1) Sheria (2) Ushahidi

Kama huwezi kuweka kifungu hizo ni bla bla, kaa usome ujifunze mambo ya wataalamu
Mimi kwa kweli, kabisa kifungu sikijui ila wanasheria wanakijua. Ninachojua mimi ni kuwa kuna jinai imefanyika, hilo tu basi. Naamini hata Mh. Spika kifungu anakijua, isipokuwa hakutaka tu kuingilia kazi za mhimili mwingine.
 
Hivi hadi sasa hamjamuelewa mheshimiwa Zitto????
Yeye anatafuta political milage kwani huu ni mwaka wa uchaguzi. Atajaribu kufanya uvunjifu wa sheria ili aonekana kuwa anaonewa.
Nadhani serikali ya JPM inafanya jambo la busara kwa kum-ignore na hiki ndicho kinachomkera sana mheshimiwa huyo.
 
Mimi kwa kweli, kabisa kifungu sikijui ila wanasheria wanakijua. Ninachojua mimi ni kuwa kuna jinai imefanyika, hilo tu basi. Naamini hata Mh. Spika kifungu anakijua, isipokuwa hakutaka tu kuingilia kazi za mhimili mwingine.
Shut your big mouth then if you are ignorant. Usimsemee Spika, na wala usikomaze mishipa ya shingo kwa vitu usivyovijua
 
Shut your big mouth then if you are ignorant. Usimsemee Spika, na wala usikomaze mishima ya shingo kwa vitu usivyovijua
Samahani. Kifungu hicho hakipo, na wala hakuna mtu anayekijua. Hata wana Sheria naamini hawakijui kwa sababu hakipo. Sawa?
 
WB nao waunganishwe kwenye mashtaka ya zzk kwa kushirikiana na mhalifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…