mkuu nasikia wanachuo wengi walihongwa simu na kulipiwa muda wa hewani kwa muda wa miezi 6 ndipo wakachanganyikiwa! Kinachowasumbua wanachuo wengi ni njaa!Wanachuo wengi wa siku hizi ni mambumbumbu. Unamuweka makamba namba moja ktk urais kwa record zipi za uongozi. Wanachuo wa sasa hivi waache kuchumia tumbo. Hawa wanachuo waseme hizo taasisi ambazo makamba ameziongoza zimeleta tija gani kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Hakuna wanachuo makini siku hizi, ni utoto tu.
Naona Babu atakwenda honeymoon tena Israel na kimwana chake cha kihaya kupumzika. Maana watakuwa wamepumua sana. Na wanazi wengi wa CDM hii ni furaha sana kwa ndugu yangu Molemo, Ben Saaanane na wengine wenye mrengo kwa kushoto juu ya Zitto. Maana na wao wanafikiri sasa wanaweza pumua na kujipatia vyeo ndani ya CDM. Yaani mi sijuwi kazi ya akina Ben na wenzake ndani ya CDM na umuhimu wa Zitto kwa siasa za nchi. Zitto ni mtu makini huwezi fananisha na Ben hata kidogo na kwa hakika watajuta baadaye.
ACT watamuweka nani agombee udiwani kule MWANDIGA, Ubunge kule Kigoma kaskazini na Urais? Yona? Mwigamba? Mkumbo? Mchange? Njano?
Kama haya ndo mawazo ya wanafunzi basi kunatatizo kubwa sana katika mfumo wa elimu ya juu unaoathiri uwezo wakupima na kufanya maamuzi kwa wanao hudhuria vyuo vya elimu ya juu.Nimetumia neno kuhudhuria kwa makusudi kabisa.Haya maoni ni ya mtu anaye hudhuria na siyo kusoma elimu ya juu.Nawahurumia sana maprofesa was vyuo hivi maake wanapelekewa with wenye akili za chekechea
Hivi huoni michango ya maprofesa na madocta wa ccm hapo mjengoni? Wengi wao ni vilaza watoa pumba na wagonga meza tu
Huyu pimbi leo Clouds amesema atagombea urais
Huyu pimbi leo Clouds amesema atagombea urais
Huyu pimbi leo Clouds amesema atagombea urais