Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi.Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
Hili lipo wazi.Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
IlitarajiwaTaarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
Ila siku hizi ZZK yuko Serikalini, Kwani hawajadiliani haya hukoTaarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
Ni wazi yote hayo atayaweka wazi katika huo ufafanuzi wake.2T sio ajabu kwa kuwa sasa hivi hata pesa zilizokuwa zinapitia TANAPA huko wanakusanya hawa watu. Zitto hata asipoteze muda wake kujaribu kudadavua data.
Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
Leo kwakuwa zito amepinga kazi nzuri za serikali, huko ufipani kawa shujaaa gafla. Ndiomaaana mumekimbia hapa kuposti fastaaTaarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba. Nachambua Taarifa za Benki Kuu za mapato kulinganisha na Taarifa ya TRA. Nitaonyesha kwa ushahidi kuwa TRA wamedanganya Umma.
Yuko anaponya nchi.Ila siku hizi ZZK yuko Serikalini, Kwani hawajadiliani haya huko
Kwani TRA kukusanya mapato kwenye hizo mamlaka wameanza mwezi uliopita wa December? kama walikuwa wanakusanya toka miezi iliyotangulia kwanini hayo mapato TRA wakawa hawayatangazi kila mwezi wanavyopenda sifa? ukweli ni kwamba mapato yalishuka.Hakuna muujiza wowote ule. Kilichofanyika sasaivi ni hela zote za serikali zinakusanywa na TRA. Kama hadi mamlaka za Ngorongoro na Tanapa na uhamiaji zimenyang’anywa kukusanya mapato ya utalii na imepelekewa TRA hizo figures wala hazishangazi. Tena utalii ukirudi kwenye hali yake tutakuja kutangaziwa imefikia hata trillion 4 na washamba wakashangaa kumbe hizo hela zilikuwepo tangu zamani sema zilikuwa zinaingia serikalini kupitia taasisi nyingine.
Ukizingatia ,pesa yetu kwa Sasa haina thamani zisi ya $.2T sio ajabu kwa kuwa sasa hivi hata pesa zilizokuwa zinapitia TANAPA huko wanakusanya hawa watu. Zitto hata asipoteze muda wake kujaribu kudadavua data.
Subiri uchambuzi kisha uthibitishe kuwa Zitto ndio muongo.Kati ya watu wanao umia kuona mafanikio ya uongozi wa Raisi Magufuli mmoja wapo ni huyo Zitto Kabwe