Zitto tusaidie umeelewa nini pale Bungeni? Hiki ndicho ulichotegemea?

Zitto sio mbunge,kwenye hili mnamlaumu bure
Mbona wakati wa Mwendazake alikuwa na kiherehere kwa kila jambo kwani alikuwa Mbunge? Tunajua kinachomsumbua Zitto ni mdini sana na huwezi kumsikia akitoa ukosoaji kwa Serikali ya Bi Hangaya
 
Mbona wakati wa Mwendazake alikuwa na kiherehere kwa kila jambo kwani alikuwa Mbunge? Tunajua kinachomsumbua Zitto ni mdini sana na huwezi kumsikia akitoa ukosoaji kwa Serikali ya Bi Hangaya
Sawa lakini hoja zake hazina mashiko,maana Hana kura yoyote bungeni,anaongea kama Mimi na ww tu
 
Wabunge wanaongea kwa tumia HAMASA na kufukuzia TEUZI badala ya kutumia WELEDI
Huku mitaani kuna WASOMI wa kila aina kuliko huko bungeni hivyo lazima wajue kuwa kila wanachoongea na kuchambua watu huku mitaani wanafanyia PERFORMANCE APPAISAL kwa maslahi mapana ya Tanganyika.
 
Duh! Nilikuwa sijui kuwa like AZIMIO, sio mkataba bado, limetengenezwa na Waislamu kwa ajili ya maslahi ya Waislamu. Asante kwa kutufungua macho.
 
Katika kitu ambacho nicha kushangaza zitto zuberi kabwe sakata la mkataba wa bandari na Dp world amekaa kimya u!ma inatakaiwa ijue tumawanasiasa wa aina gani ndani ya nchi

Mwanasiasa anayejali maslahi yake binafsi ni wakuogopa kama ukoma no hatari kwa taifa. ogopa mtu wa hivo katika taifa .
 
Amepewa cha kwake na pia kumbuka ndoa ya CCM na ACT wazalendo.
 
Wewe uyo usimuamini kabisa angaisha kichwa uyo labda uwenda na yupo si wakumwamini
 
Muacheni ausome kwa umakini mkubwa, kabla ya kuchangia. Zitto si kama Lissu, Slaa na wanachadema kwa ujumla wanao kurupuka kujibu hoja kabla hawajazifahamu.
 
Muacheni ausome kwa umakini mkubwa, kabla ya kuchangia. Zitto si kama Lissu, Slaa na wanachadema kwa ujumla wanao kurupuka kujibu hoja kabla hawajazifahamu.
Zito kipenzi cha mama yupo kimya kama hayajawahi kuusikia mkataba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…