Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa hilo mtalifanya kabla hata ya Mwaka wa Fedha 2021/2022. Mimi ni wa CCM lakini hakika mkilisema hilo kura nawapa ninyi pamoja na UCCM wangu.
Tunataka maneno yahamie kwenye vitendo sio maneno neno tu kama wanavyotufanyia CCM!