Tila-lila2
JF-Expert Member
- Oct 20, 2019
- 652
- 1,058
Ataifumua budget ya sasa kwa sheria ipi ilhali mwaka wa fedha utakua ushaanza ?Km huo siyo uongo ni nini?Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa hilo mtalifanya kabla hata ya Mwaka wa Fedha 2021/2022. Mimi ni wa CCM lakini hakika mkilisema hilo kura nawapa ninyi pamoja na UCCM wangu.
Tunataka maneno yahamie kwenye vitendo sio maneno neno tu kama wanavyotufanyia CCM!
Kama vile bwn yule alivyopiga saundi kuboresha maslahi ya wafanyakazi mpk leo ni miaka 5 bado ni bila bila.Ataifumua budget ya sasa kwa sheria ipi ilhali mwaka wa fedha utakua ushaanza ?Km huo siyo uongo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wa kuunda coalition ulishapita kisheria msajili alifafanua naona unaota !!!!Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani
Unamdanganya huyo mpuuzi mwenziyo na hizo ndoto wazitowe. Kupata mbunge Bwege na kumshangilia ni dalili mbaya. Bwege hana issue. Yaani hao wanatimiza takwa la katiba lakini hata wabunge huku bara hawatapata.Wakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa hilo mtalifanya kabla hata ya Mwaka wa Fedha 2021/2022. Mimi ni wa CCM lakini hakika mkilisema hilo kura nawapa ninyi pamoja na UCCM wangu.
Tunataka maneno yahamie kwenye vitendo sio maneno neno tu kama wanavyotufanyia CCM!
Hilo wala siyo jipya mbona?Ataifumua budget ya sasa kwa sheria ipi ilhali mwaka wa fedha utakua ushaanza ?Km huo siyo uongo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kaa kimya saizi yako bk7 wacha wavuja jasho na wenye kutumia akili kulitumikia Taifa waseme.Hii bajeti ya mwaka huu ni ya matunda na asali
Hatuhitaji uwongo wa upinzani
Aongezee na malimbikizo ya mshahara ya 2020 na makato makubwa ya bodi ya mikopoWakati wa Kampeni zako weka wazi kuwa Chama chenu au kama mtaunda Coalition ya Upinzani madhubuti na mkashinda basi kwenye Bajeti mtakayoifumua mtakumbka kupandisha mishahara ya wafanyakazi iMwezi huo huo Januari ili kuwapunguzi machungu waliyonayo.
Msimung'unye maneno wekeni wazi wazi kuwa hilo mtalifanya kabla hata ya Mwaka wa Fedha 2021/2022. Mimi ni wa CCM lakini hakika mkilisema hilo kura nawapa ninyi pamoja na UCCM wangu.
Tunataka maneno yahamie kwenye vitendo sio maneno neno tu kama wanavyotufanyia CCM!
Yatkuwepo mengi ya kuboresha!Aongezee na malimbikizo ya mshahara ya 2020 na makato makubwa ya bodi ya mikopo