technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati, ACT ni chama cha dora kilichokuja kuviua vyama vya upinzani, Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua. Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Mbona husemi Chadema ilivyoiuwa CUF kwa kutumia UKAWA?Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kwa hiyo ndio maana mlifukuza katika chama chenu cha ChademaSio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kama mada inakuzidi akili na umri uwe unaipita kimya kimya tu. Umeshaambiwa ukimuangalia kwa kutumia jicho la tatu (akili kubwa zaidi na ya tafakari), halafu wewe kwa ufinyu wako unakuja kuomba ushahidi, ushahidi kwenye mambo ya tafakari na analysis?kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
ongezeni ufadhili anawasidia sana ila lengo lenu la kuiangusha CDM limekwama kwa kupitia zito na yeye anajua
notedKama mada inakuzidi akili na umri uwe unaipita kimya kimya tu. Umeshaambiwa ukimuangalia kwa kutumia jicho ka tatu (akili kubwa zaidi na ya tafakari), halafu wewe kwa ufinyu wako unakuja kuimva ushahidi.
Kama huna akili kubwa pita kimya tu
Sijaona hilo jicho la tatu, umetumia jicho moja tuu.
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Hatuangalii mtu tunachotazama ni hoja na ukweli we zezetaSio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
kuna chama kina mafisadi kama ccmKwahiyo Chadema ya Mbowe iliyoruhusu mafisadi yagombee urais 2015 ndio wapinzani wa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuna chama kina mafisadi kama ccm
Kwani Ukawa ipo?Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,