Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,910
- 7,765
Napenda sana jinsi CHADEMA kinavyomshughulikia Zitto.Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
Kwahiyo Chadema ya Mbowe iliyoruhusu mafisadi yagombee urais 2015 ndio wapinzani wa kweli?
Mbowe aliyebadili katiba ya chama ili atawale milele ndio mpinzani wa kweli?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sie watu wa Pwani ukitaja jicho la Tatu mwamvuli unafungukaSijaona hilo jicho la tatu, umetumia jicho moja tuu.
Sawa Mwamini Lowasa au SumayeKwakweli Zitto sio wa kumwamini kabisa katika siasa za upinzani nchi hii!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya tuambie tusiyoyajua, CHADEMA imeiuaje CUF ilihali CUF bado ipo hai?
Nikweli unachosema kiongozi, lakini Kama aliaminika Lowasa, Sumaye sioni kama Kama watu wenye akili watashindwa kumuamini Zitto.Napenda sana jinsi CHADEMA kinavyomshughulikia Zitto.
Ukitaka kumjua Zitto vizuri tuulize sisi tuliofanya nae kazi.
Zitto ni NYOKA NYOKA NYOKA. Zitto hatakuja kuaminika hata atambike uchi mwaka mzima
Sent using Jamii Forums mobile app
Embu tumia fursa hii kujibu swali ewe kikongwe, maana sijui swali nililouliza linahitaji umri kiasi gani kujibiwa.
Hata mimi nipo upande wako mkuu zzk ni mtu wa system yupo special kuharibu move zote za vyama vya upinzani.Sio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,
ACT ni chama cha dola kilichokuja kuviua vyama vya upinzani somo ni CUF inavyokufa.
Ana maslahi ya kutumika bado ndani ya dola Inawezekana wanamtumia kwa kujua au yeye kutokujua.
Zitto bado hajawai kunishawishi kwamba yeye ni mpinzani never UKAWA kaeni macho kuelekea uchaguzi 2020.
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
kuongea maneno tu bila uthibitisho ni kumuongezea chati zitto aendelee kusikika na kukiki
toa vithibiti, anayoyafanya sasa yanaendana na ccm?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa Mwamini Lowasa au Sumaye
Wewe kweli hamnazo na mahaba yatakupeleka pabaya , unaweza kujadili habari ya Zito Kwabe wakati ulimpokea mtu uliemuimba fisadi(Lowasa) kwa Zaidi ya miaka 5? ukatafuna kauli yako kwa UROHO wa madaraka na ruzuku ebu muwe mnajiangalia kwenye vioo muone aibuBora kuwaamini hao wenye wanaojulikana kuwa ni CCM waziwazi, kuliko mnafiki na aliejaa hadaa Zitto
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe ni fisadi namba moja anayejilipa kwa kukikopesha chamaTutajie fisadi hata mmoja unayemjua mwanachama wa chadema?
Zitto ni proxySio mpinzani, Sio mpigania haki kama anavyotuaminisha, Sio mwanaharakati,