Zitto ulitaka iundwe tume ya kuchunguza matendo ya kuumiza watu kipindi cha Magufuli. Uko tayari Iundwe ya kuchunguza mambo hayo wakati wa Samia??

Na hawa chawa wake wanavyoishabikia na kufurahia kitendo alichofanyiwa Sativa ndiyo kinazidi kumuweka pabaya.
 
Kumtaka Zitto atie neno hapa ni kumtaka muhali, udini umemuathiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…