Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,016
- 6,759
@Zitto twende taratibu bana.
Hapo awali Waziri alikuwa kakalia moto
... unajua umekalia moto na ukaendelea kuukalia sijui tukueleweje!@Zitto twende taratibu bana.
Hapo awali Waziri alikuwa kakalia moto
Moto umezima, akauguze majeraha awaachie wazima wafanye kazi
Mzee unazo takwimu halisi?Awali alikuwa kakalia moto lakini hata leo ana takwimu za kizushi.
Fukuza mawaziri wote, they are useless Kama mbu. U Zitto u told us you will name all Tanzanians with millions in Swiss banks, where is the list? Are you also not useless like any other politicians?Anaandika Mh Zitto Kabwe:
69% ya wagonjwa wote wakisaidiwa kwa mashine?
1) Hizi takwimu sio za kweli kwa maana wagonjwa ni wengi zaidi ya hao.
2) Waziri kaamua kusema Hata kwenye idadi ya wanaosaidiwa kupumua.
3) Huyu Waziri haaminiki kwa sababu aliongoza Kampeni ya Watu kunywa Sumu. AFUKUZWE KAZI
Katika kila wagonjwa wa UVIKO-19 nchini, 7 wanatumia mitungi ya Gesi! Hii ni rekodi ya Dunia. Haiwezekani, wagonjwa ni wengi zaidi. Kama wenye kutumia msaada wa Gesi ni hao basi wagonjwa ni mara 600 ya hao wanaotajwa.
Tuendelee kujilinda
Mzee unazo takwimu halisi?
ππππAnaandika Mh Zitto Kabwe: