#COVID19 Zitto: Waziri wa Afya afukuzwe kazi sababu haaminiki na aliongoza kampeni ya watu kunywa sumu

Dorotia mambo yake valuvalu sana,hii wizara na naibu wake huwa hawaeleweki.

Taarifa hazijitoshelezi kwa umma.

Kama vipi wapitishie taarifa kwa msemaji wa serikali ili amdadisi kwanza kabla ya walaji.
Pale tulipigwa
 
Taharuki ,taharuki taharuki kila mahali walichokua Wanataka ndo hichi
 
Wakutoa ushahidi ni nyie msioamini tamko la waziri
Namba hujibiwa kwa namba
 
Jamani serikali inatakiwa ujinga wote wa magufuli muufutee.
 
kama unalazimisha tuamini hivi ,hunatofauti na aliyesema watanzania mniamini Mimi amekufa kwa ajali

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Waziri Gwajima wa January na wa July ni watu wawili tofauti[emoji23][emoji23][emoji23]
 
kama unalazimisha tuamini hivi ,hunatofauti na aliyesema watanzania mniamini Mimi amekufa kwa ajali

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mjomba kama wewe unajijua miaka yako 50+ we jivalie barakoa; hiyo COVID waachie vijana waambukizane.

Boris Johnson mwenzako anaona rate ya 30000 kwa week kwenye maambukizi wakati wanaopata ni vijana tu siku hizi aitoshi; tarehe 19 week ijayo anafuta COVID restrictions zote na ma disco yarudi kama kawa ili vijana waambukizane vizuri elfu thelasini kwa week wanawachelewesha ili gonjwa kupita.

COVID aina madhara kwa vijana hao wanaoenda hospitali Tanzania ni wazee; na Tanzania kwa sababu atupimi mpaka uende hospitali takwimu za wagonjwa ndani ya nchi ndio hizo hizo za hospitali; sasa hapa cha kumbishia waziri kiko wapi.

Zitto kaishiwa kisiasa siku hizi hajui ata anasimamia nini we mambo ya Tigris wakati audience yake ni watanzania yanamuhusu nini kama sio anaanza kuwa mental case na yeye kama wale mashangazi wa Twitter.
 
Mtafuta attention pamoja anasema mambo ya kweli Ila I don't trust this son of Jezebel
 
Acheni kumsingizia Dorothy, ni Magufuli na maaskofu na Mashehe waliotuambia tuombe, tufunge na tujifukize.
Naomba uwe specific kwa maaskofu, gwajiboy na yule sheikh wa mkoa mkuu, hao wengine usiwasingizie. Wapo maaskofu wengine mpaka walitoa likizo za ibada mpaka mwendazake akawachukia
 
Kiukweli hili tatizo halihitaji waziri mwenye ndimi mbili, waziri huyuhuyu aliwadanganya watu na sasa anakuja vingine, back Ummy Mwalimu, aliitumikia nafasi yake vilivyo
Niliandika post ya hivi,mods wakabarn,is it not partiality?
 
Zito alete takwimu zake, alizofanya utafiti sio kupiga makelele. Yeye na waziri wa afya nani mwenye haki yakutoa takwimu za uviko-19

Takwimu zinatolewa na mamlaka maalum ni kinyume Cha sheria kila mtu kutoa takwimu....
Zito ana haki ya kutoa maoni.
 
Binafsi waziri wa afya na yule wa mambo ya nje siwaelewi kabisa hata jinsi wanavyoongea,
 
Angekuwa Mbowe ndio kasema hivi, ungeona pambio za kutosha sana kutoka kwa Machaga kwenda kwa mwamba mbowe🤣

Siasa za bongo bana
Vipi lingekuwa jiwe lenyewe limemsema mtu?
 
Takwimu zinatolewa na mamlaka maalum ni kinyume Cha sheria kila mtu kutoa takwimu....
Zito ana haki ya kutoa maoni.
Alichotoa zitto sio maoni ni kaja na takwimu zake ambazo hazina tafiti. Kusema Kuna wagonjwa zaidi ya... hii ni takwimu/idadi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…