halafu unakuta mijitu imekusanyika kwenye maeneo mbalimbali, kwenye mabasi n.k huku wakipumuliana na kupigiana chafya!!!
Jamani eeeh! Vaeni barakoa kwa usahihi, tuache ubishi tutakwisha, tutapupitika!!
tuvae barakoa kwa usahihi, tusivae barakoa kwenye videvu, kichani, au kuijaza mdomoni.
Vaa barakoa saizi yako usivae barakoa ya mtoto mdogo, vaa barakoa kwa usahihi.
Sent using
Jamii Forums mobilvipikugegedena?