Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Shehe nani mkuu?Chama cha Shehe 🐼
PondaShehe nani mkuu?
Kwa hiyo watu wakapoteze maisha kwa ajili ya kumlindia zito kura ili apate madaraka hii nayo ajabuZitto bwana bonge moja la mnafki.
Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa
"Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria hushughuliki naye kinyonge na kwa mujibu wa sheria. Oktoba #LindaKura Tunayo njia. #MuhuniHasusiwi"
OKTOBA TUNA ✔️Zitto kabwe kupitia ukurasa wake wa X alipokuwa akimjibu Sativa ameandika kuwa
"Kanuni imehalalisha wizi wa kura? Wizi wa kura ni uhuni. Mtu anayefanya uhuni na hatendi kwa mujibu wa sheria hushughuliki naye kinyonge na kwa mujibu wa sheria. Oktoba #LindaKura Tunayo njia. #MuhuniHasusiwi"
Mnajua mnatiki kwa sababu gani?OKTOBA TUNA ✔️
WAJINGA MNO NA NI CHAWA WA CCMACT bhana... Chama flan hivi cha Wapunbavu.
OKTOBA TUNA ✔️
Kwa hiyo watu wakapoteze maisha kwa ajili ya kumlindia zito kura ili apate madaraka hii nayo ajabu