Mkuu Junius,
Zitto hajachelewa,bado ni kijana na nafasi bado ipo. Nina imani kampeni za 2015, yeye ndo atakuwa mwekiti wa chama chetu
Mbona ata makoma wa raisi sikiki watu amsemi kwa zitto midomo juuuKaka usiwe na wasiwasi na Zito,, Yuko kwenye Kampeni Kubwa ya Chama.
Mimi nadhani uchaguzi ujao Zitto ni mwenyekiti, and naona kabisa kama Slaa akishinda basi Zitto apewe uwaziri Mkuu.. Kwani anauwezo na elimu ya kutosha kabisa..