Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!
Kweli, tunamsubili aje mtaani tumpokee shujaa wetu, Ole wao walikoroge!
Mugo"The Great";501544 said:Eti jana Waziri Mkuu aliwataka Wabunge wawaheshimu Mawaziri na wachangie bila jazba lakini alisahau kuwa mawaziri ndio chanzo kwa kujibu maswali kwa style ya mipasho. Respect ni two ways directions na siyo one way direction. Ni kweli kabisa watanzania sasa hivi wanajua kinachoendelea Bungeni, hivyo kama CCM watajaribu kumfungia Zitto basi wajue "wameula wa chuya"
kauli mbofuuuu sanaaa hizoo spika huwa anatoaa kujikosha kuwa yeye ni mwerevu wa kucheza na akili za wadanganyikaaa..ananiboaaaaaaaaaaaaaaaaaHii watainyamazia, kutoa adhabu itawapeleka pabaya hadi mwakani. Sana sana, Sita atakuja na msemo wa "KUMPUUZA KWANI BADO NI MDOGO NA HAJUI AFANYALO" Si tunakumbuka ya Adam Malima Vs Mengi!
Jana akiwa anahojiwa na waandashi wa Alasiri alisema endapo watamchukulia hatua yoyote kwa yale aliyoyasema Bungeni basi watazomewa na wananchi kama walivyozomewa katika lile sakata la Buzwagi!!!