Tangu lini jamaa analipenda Taifa hili.
Alisema tuna Korona.
Akawa anapiga kampeni tunyimwe fedha za World Bank.
Huu upendo wa dhati kwetu umekuja kipindi anataka kura sio??
Wanaowapenda watanzania ni wale wanataka ongezeko la mimba za utotoni.
Huyu ndiye mzalendo wa kweli maana ana hofu ya mungu na anafuata taratibu na kanuni za uchaguzi unapotafuta wadhamini. Siyo yule mpayukaji anaofanya watu waache shughuli zao waende kumshangaaWadhamini anatafuta kimya kimya?
Hiyo ilikua sera ya Ukawa 2015 mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema alitoa ahadi hiyo naona ushasahau Mara hii...wanaowapenda waTz ni wale waliomtoa kifungoni Babu Seya na Papii waliolawiti watoto.
Mbowe is very selfish.
But, too bad he's on a losing side.
Zitto hata akipata wabunge 5 ni hatua kubwa sana.
Siyo wote ni wana Lumumba, wengine ni waTZ tunayoyaona mh. JPM anayotufanyia hadi raha tupu. CCM OYEEEEE
Tangu lini jamaa analipenda Taifa hili.
Alisema tuna Korona.
Akawa anapiga kampeni tunyimwe fedha za World Bank.
Huu upendo wa dhati kwetu umekuja kipindi anataka kura sio??
Hiyo ilikua sera ya Ukawa 2015 mgombea Urais kwa tiketi ya Chadema alitoa ahadi hiyo naona ushasahau Mara hii.
Au umeamua kujitoa ufahamu tu.
Hapo namtetea mzee wa bapa siyo selfish kabisa, angelikuwa selfish angekuwa anagombea urais kila uchaguzi kama ilivyo kwa Lipumba na Maalim Seif.Mbowe is very selfish.
But, too bad he's on a losing side.
Zitto hata akipata wabunge 5 ni hatua kubwa sana.
Owkay !!What is the selfishness of Hon Mbowe? Substantiate. Tundu is the flag bearer and not Mbowe! However Zitto and Maalim have just invited Hon Membe (alias John the Baptist)to clear the way for President Dr Magufuli the role played by Zitto in 2015 by attacking the then opposition flag bearer Hon Lowassa calling him ‘FISADI’!! Upinzani hakuna lolote, ni wabinafsi(egoistic), they are after publicity and fame. However I guess Tanzania mainland ACT Wazalendo will manage Zero member of parliament while CHADEMA will part with at least 10 M.P.!!!! The rest of the opposition parties will reap “ZERO” members of parliament!
Zitto alishalijibu hili kwamba Chadema na ukawa ndiyo waliomtenga hawakutaka kabisa washirikiane naye.Too late....Kuna kitu anamaanisha katika haya Maneno yake ambacho Ni kinyume KBS na anachotaka tuamini. Zito huaminiki. Uliwakataa wenzio 2015 kipindi Cha ukawa Leo kitu Gani kinakusukuma hivi?