Analenga Jimbo lake tu analogombea HapoHuyu bwana Zitto haaminiki
Itakuwa sijaona ACT wakimpost.Hivi jasusi na yeye anakusanya wadhamini?
Zitto kalijua leo suala hili? Mbona 2015 yy alikataa? Aanhe ushakunaku. Chadema lindeni maslahi mapana ya nchi.Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo,na kila Kata,
Zito aachane na mambo ya kuungana maana hayana mwisho mwema, maana kila chama kina falsafa zake. Ni vyema wawe na agenda za pamoja wakipanda jukwaani. Haya mambo ya muungano isiyo na utaratibu maalum, huwa inatumika kudhoofisha vyama na kuishia kuchafuana tu.
Zitto anatafuta mbeleko ya cdmAtamvuruga nani, maana chama anachotaka kuungana nacho ni cdm, na cdm hawasomeki mpaka sasa.
Hiyo ya kupanda jukwaa moja Act na CDM italeta hamasa kwa raia...
World bank sio mabeberu?Tangu lini jamaa analipenda Taifa hili.
Alisema tuna Korona.
Akawa anapiga kampeni tunyimwe fedha za World Bank.
Huu upendo wa dhati kwetu umekuja kipindi anataka kura sio??
Sikumbuki vzr Ila nakumbuka Kuna Maneno flani aliyatoa kipindi like akiwananga walioungana. Kama una ushahidi nikumbushe juu ya HiloHapo namtetea Zitto, yeye ndiye aliyekataliwa na Chadema kwa sababu ya usaliti siyo kwamba yeye ndiye aliyewakataa.
Ok.unadhani au Unajua kwanini wamkatae? Siri yao Mimi sijui,Kuna dhambi ukizifanya hii Dunia hata ndugu zako ukiwakaribia hawakuamini.Zitto alishalijibu hili kwamba Chadema na ukawa ndiyo waliomtenga hawakutaka kabisa washirikiane naye.
Opportunist
CHADEMA kwasasa ni kama kibinti cha miaka 18-21 kiko kwenye peak hata kikiitwa nyodo kibao.Huyo siyo opportunist ila ni ‘KIPYOTO’ (mchavuzi, mkorogagi) of which atarudi kundini kama kawaida!
Alafu akisha enda agundue nini?
Zitto mbona unawatega Chadema ww huku bara huna mbunge hata mmoja ni ww tu sasa watakuachiaje majimbo wakati huku bara huna nguvu?
Na cdm tupo nae vizuri kwenda kumuona lissu belgium mara 2 sio kigezo.Huyo siyo opportunist ila ni ‘KIPYOTO’ (mchavuzi, mkorogagi) of which atarudi kundini kama kawaida!