Zizou vs Ronaldinho

zidane was the best player of the past 20 years....si maneno yangu bali ya marcello lippi kocha wa hao italy unaowasifia mwaka 2006!kauli hii aliitoa mwaka huohuo 2006!wanaume kombe uwanjani vinjino gaucho kitambo na chama lao walishafungasha virago!na kama una kumbukumbu nzuri nadhani utakumbuka washabiki wa brazil walitoa kauli gani baada ya game ya brazil na france kuisha!!!!uwanja mzima kulikuwa na mbrazil mmoja tu naye ni zinadine zidane!si maneno yangu bali ya washabiki wa kibrazil walioshuhudia shughuli ya zizzou dimbani mbele ya wabrazil wenzao
 
jamani kumbe soka ni dini kabisa, looooo
 
Na mchango wake aliuonyesha ktk fainali ya worldcup mwaka 2006 pale .............................................................................................................
Unampima mchezaji kwa mechi moja?
 
kwa wanaojua soka huwezi hata kujaribu kumfananisha mchezaji yeyote wa kipindi hiki na Zidane! Ndie anaaminika bora kabisa baada ya pele na maradona.
 
zidane ana vitu vingi sana ambavyo gaucho hana,hakuna kitu kigumu kama wabrazil ku admire mtu ila kwa zidane wanaamini ni mfalme! Tuache masihara jamani,Zidane ni hazina ufaransa itawachukua karne kuipata!
 
Mchezaji anapimwa kwa vitu vingi sana na zaidi sana umakini wake wake akiwa dimbani na utulivu na hata akili anazotumia Zidane hutoa na kufanya vitu vya tofauti na wachezaji wengine naomba kusema bado sijaona mchezaji wa kumfananisha naye achana na Ronaldinho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…