Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Umeamua tu kuwa mkorofi.....unatafuta lawama za bureAna uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.
Hujielewi huyu jamaa hana tofauti na makonda....Yeye anajua chandimu tu afu anakuja kumzungumzia Kadabra??!!Angalia statistics Mr hater sio unabwabwaja tuu eti unamfananisha na Giroud kwan hata idadi ya magol huoni acha kufananisha mimba na kitambi
Hujielewi huyu jamaa hana tofauti na makonda....Yeye anajua chandimu tu afu anakuja kumzungumzia Kadabra??!!Angalia statistics Mr hater sio unabwabwaja tuu eti unamfananisha na Giroud kwan hata idadi ya magol huoni acha kufananisha mimba na kitambi
Mkuu hata kama humpendi zlatan kwa kiwango gan ila kitendo cha kumfananisha uwezo wa zlatan na Giroud inadhihirisha either una chuki binafsi ama hufahamu historia ya zlatan mpaka hatua aliyopo sasa. Sometimes hata kama uko timu pinzan haimaanishi usiwakubali wachezaji wenye uwezo wa timu zingine. Kwa mf, mm ni shabiki wa man utd ila natambua na kukubali uwezo wa juu wa wachezaji wa timu zingine kama Ronaldo, Messi, Neymar, Suarez, Sanchez, coutinho, hazard, grezman na wengine kibao. Kwa hiyo acha chuki binafsi kwa mchezaj ama timu fulanAna uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.
Ina maana uwezo wake huuoni?Ana uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.
Mm cyo fan wake au klabu anayocheza lakini namuelewa sana cadabraAna uwezo wa kawaida mno na hana tofauti na Olivier Giroud sema tu kwasasa anazungumzwa sana kwa kuwa yupo timu ya wapayukaji duniani, jiulizeni kwanini alichemsha vibaya akiwa Barcelona? Akaenda kung'aa kwenye ligi ya Ufaransa ambayo ni sawa na ligi ya timu moja au ligi ya mchangani. kwa kifupi zlatan anapewa sifa zisizostahili.