Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Jun 9, 2017 #1 Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Attachments IMG-20170609-WA0015.jpg 50.6 KB · Views: 50
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Jun 9, 2017 #2 Bye bye Abracadabra...
Abuu Kauthar JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 4,296 Reaction score 6,492 Jun 9, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Bye bye Abracadabra... Click to expand... We jamaa noma hahahhaa
C Camp Gilgal JF-Expert Member Joined Dec 13, 2014 Posts 4,453 Reaction score 4,592 Jun 9, 2017 #4 Good! Japokuwa kafunga goli 28 bado alipoteza nafasi za wazi zaidi ya 30 na kutufanya tucheze katika wakati mgumu. Atabakia CARRINGTON kuendelea na matibabu. Huenda akaingizwa Jan 2018 kama tulivyofanya kwa HENRICK LARSON miaka ile kuongeza nguvu. Tusubiri..! Tunamshukuru kwa yote na kumtakia kila lenye kheri. Najua ataingia striker mpya mwenye uzoefu zaidi ya hawa madogo waliopo. [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
Good! Japokuwa kafunga goli 28 bado alipoteza nafasi za wazi zaidi ya 30 na kutufanya tucheze katika wakati mgumu. Atabakia CARRINGTON kuendelea na matibabu. Huenda akaingizwa Jan 2018 kama tulivyofanya kwa HENRICK LARSON miaka ile kuongeza nguvu. Tusubiri..! Tunamshukuru kwa yote na kumtakia kila lenye kheri. Najua ataingia striker mpya mwenye uzoefu zaidi ya hawa madogo waliopo. [HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG] 2017/2018#
Galapagosi JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 2,848 Reaction score 2,637 Jun 9, 2017 #5 Anasepa huku kavunjika.
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,529 Reaction score 1,119 Jun 9, 2017 #6 Watabakia nafasi yao ya tano au sita kama gemu likiwanyookea maana hakuna namna!!!!
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,170 Reaction score 7,665 Jun 9, 2017 #7 Zlatani Hawezi Sepa
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Jun 9, 2017 #8 Saju b said: We jamaa noma hahahhaa Click to expand... Ameinstall automatic app inamualert in case of any new post
Saju b said: We jamaa noma hahahhaa Click to expand... Ameinstall automatic app inamualert in case of any new post
Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,263 Jun 9, 2017 #9 Km vile toilet paper unatumiwa dheni unatupwa
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Jun 9, 2017 #10 Zlatan OUT Samatta IN.
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 128,308 Reaction score 245,426 Jun 10, 2017 #11 Saju b said: Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Click to expand... Amekongoroka sana .
Saju b said: Mi naona aende tu, anazuia ukuaaji wa vipaji vya madogo Click to expand... Amekongoroka sana .
usser JF-Expert Member Joined Sep 25, 2015 Posts 13,956 Reaction score 14,032 Jun 10, 2017 #12 Na man u itashuka daraja Next season
Handsome man JF-Expert Member Joined May 6, 2017 Posts 880 Reaction score 956 Jun 10, 2017 #13 Umri umechangia