Ajitume tu kama SamattaDah sijuh nimpeleke mtoto wangu acadmic ya mpira..anawez kuja vuta mipunga kama iyo
Dah lakini bongo watamloga[emoji35]
Dah sijuh nimpeleke mtoto wangu acadmic ya mpira..anawez kuja vuta mipunga kama iyo
Dah lakini bongo watamloga[emoji35]
kweli broo..nadhan ndio hapo tunapokosea..kwa kuamini kuwa kila mtu lazm asome.Bongo utaskia soma ww ....mwisho wa siku unakuwa mwalimu wa history shule ya sekondari mtakuja