Kuna ile mada unazumzungumzia bundi Kama ndo ndege anaona kifo Cha mtu ata kabla ya mtu kufariki, Kuna sehemu Kama uligusia hivi kuhusu Siri ya kifo sijui Kama Niko sahihi ila kumbukumbu zangu zinanituma hivo 🙏🙏🙏[emoji1545][emoji1545] bado moja siri ya kifo.. Hili bado linanitatiza sana sana..!
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Hahaha that's me..[emoji23]
Nimeandika nyingi pamoja na hii lakini naona bado kuna ombwe mahaliKuna ile mada unazumzungumzia bundi Kama ndo ndege anaona kifo Cha mtu ata kabla ya mtu kufariki, Kuna sehemu Kama uligusia hivi kuhusu Siri ya kifo sijui Kama Niko sahihi ila kumbukumbu zangu zinanituma hivo [emoji120][emoji120][emoji120]
Kuna ile mada unazumzungumzia bundi Kama ndo ndege anaona kifo Cha mtu ata kabla ya mtu kufariki, Kuna sehemu Kama uligusia hivi kuhusu Siri ya kifo sijui Kama Niko sahihi ila kumbukumbu zangu zinanituma hivo [emoji120][emoji120][emoji120]
Hapo inabidi cancer awe mpole au awe mwanamke la sivyo itakuwa ni moto juu ya fireNmekawia kuiona hii "sredi", lkn napenda haswa kufahamu haya maswala.
Najiona me kabsaaaa, kwa mapana na marefu [emoji2].
Lkn nahtaj kuuliza juu y leo na cancer wanaweza kuoana( kuwa mke na mume, kuanza familia, kuwa na mahusiano)?
Na je, kama haiwezekan ikitokea hivyo ndoa yao itakuaje?!