Kwenye kila shida kuna tone la raha na kwenye kila raha kuna shida ndani yakeKila nikiifikiria Leo nachoka......
Inakuwaje kwenye uchumi complicated na kwenye mahusiano ndio utadhani tupo mwituni tunataka kuonesha ufalme wetu?
TAURUS... kweli aisee nikikihangaikia kitu sana halafu hakieleweki hata kirudi vipi SINA MPANGO TENA,, au kitu nikikivumilia saaaana nikichoka nimechoka hata kije na utamu au vitisho gani... LITAKALOTOKEA NA LITOKEE TU NITAKABILIANA NALO...
CAPRICORN... kweli 100%... Hawaeleweki..