Tanki
JF-Expert Member
- Apr 7, 2013
- 538
- 246
Kitambulisho cha kupigia kura kina changamoto kidoogo. Jina lilikosewa herufi Moja tu. Now Nipo nafuatilia mafao yangu ya NSSF. Kukosewa huku kwa jina kunaweza kuleta changamoto kubwa sana na pengine nikashindwa kupata mafao.
So, nahitaji kukutana na hawa wahakiki wa daftari la wapiga kura Ili anipe kitambulisho kingine chenye jina sahihi.
Kuna kaniambia baadhi ya maeneo zoezi hili limeshaanza. Please!
Nahitaji mtu aniconnect na muhakiki mmoja wa zoezi hili. Pesa ya soda ipo. Na pesa ya soda Kwa muhakiki naye ipo. Sina namna wakuu.