wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Kumbe mtu unaweza toka bonyokwa ukaenda kujiandikishia boko au masaki na usiulizwe kitambulisho wala ulikotoka/unakaa wapi ,yaani shida yao ni majina yako matatu tuu hata ukidanganya naitwa sumbwili mwanarugati wao wanaandika tuu fresh imetoka hiyo.
Nimeshindwa elewa hivi kwa staili hii si hata raia wa kigeni ruksa upiga kura?au siku ya kupiga kura ndio watahitaji hicho litambulisho.naje!kwa hali hii mtu mmoja si anaweza jiandikisha hata vituo 20 tofauti tofauti na akaja piga kura vyote?
Kwa hili hii tume imechemka mapema sijaju huko mbeleni