Zoezi la "mass testing" linalotekelezwa na Kenya, laanza kuzaa matunda yaliyokusudiwa.

Zoezi la "mass testing" linalotekelezwa na Kenya, laanza kuzaa matunda yaliyokusudiwa.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
Denmark boosts Kenya’s Covid-19 fund
Mara nyingi takwimu lengo lake ni ili kupanga mipango na bajeti ya kukabiliana na tatizo husika, ila kwa nchi zilizogubikwa na rushwa, takwimu zimegeuzwa kuwa ni sababu ya kuomba misaada ili kuwanufaisha watu wachache.

Hongera Jirani kelele za kila siku za kuitangazia dunia idadi ya watu wenye maambukizi, bila kutangazia wananchi wako njia na mbinu mpya za kupunguza maambukizi, hatimae zimenza kusikika huko kwa wazungu.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha, daaah, yaaani una mtizamo wa aia yake kabisa, but its true, unaombaje msaada bila takwimu? Hahahahah!
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom