Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh sidhani labda wameshindwa vibamia sembuse mwili mzima.Habarini wadau,hivi n kweli kuwa zoezi la pull over linarefusha mwili,yaan mtu akiwa mfupi akipiga hili tizi anarefuka vizuri tu.
Kata mguu utakuwa mrefuHabarini wadau,hivi n kweli kuwa zoezi la pull over linarefusha mwili,yaan mtu akiwa mfupi akipiga hili tizi anarefuka vizuri tu.
Kuhusu kuongezeka urefu sina uhakika ila kwa upande wangu zoezi la pull over limenisaidia sana tena sana kunipunguzia au niseme kuniponya kabisa maumivu ya mgongo.Sasa wadau niligoogle nikaona wanasema matiz ya pull over yanarefusha mgongo yaan kweny spinal cord,sasa hapo mbon mnachangany wadau.