Zoezi la pull over,kurefusha mwili.

Zeru

Senior Member
Joined
Jul 20, 2018
Posts
186
Reaction score
64
Habarini wadau,hivi n kweli kuwa zoezi la pull over linarefusha mwili,yaan mtu akiwa mfupi akipiga hili tizi anarefuka vizuri tu.
 
Kata mguu utakuwa mrefu
 
Sasa wadau niligoogle nikaona wanasema matiz ya pull over yanarefusha mgongo yaan kweny spinal cord,sasa hapo mbon mnachangany wadau.
 
Kubaliana na hali yako tu mkuu. Kama wewe anduje hata pull under nini pull over utabaki kuwa anduje hivyo hivyo. Kama mazoezi yangekuwa yanarefusha basi Mayweather angekuwa ngongoti.
Usihofu utapata atakaekubaliana na kimo chako.
 
Sasa wadau niligoogle nikaona wanasema matiz ya pull over yanarefusha mgongo yaan kweny spinal cord,sasa hapo mbon mnachangany wadau.
Kuhusu kuongezeka urefu sina uhakika ila kwa upande wangu zoezi la pull over limenisaidia sana tena sana kunipunguzia au niseme kuniponya kabisa maumivu ya mgongo.
Ila pia pull over ni katika zoezi gumu sana ambalo hua halizoeleki ki rahisi.
Huu ni mwaka wa pili sasa nafanya mazoezi ila pull over bado inanihenyesha.

Sent from my GT-P5200 using Tapatalk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…