ribart Focus
New Member
- Feb 10, 2025
- 2
- 4
Samahani nauliza hivi zoezi la uandikishaji daftari la wapiga kura kwa Dar es salaam limefikia wap? Kuna watu wameitwa? au process Bado?
Majibu yenu.
Majibu yenu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelewa swali?Kuna watu Bado mnawaza kwenda kupiga kura?
Unawaza kabisa kupanga foleni kupiga kura?
Mimi nakitaka kitambulisho cha kupigia kura ili niwe naombea mikopo mtandaoni
😂😂😂😂 Labda ameamua kutoa yake ya moyoni tuUmeelewa swali?
Nimeelewa ila nipo nje ya madaUmeelewa swali?
Niuzie basi kitambulisho chako km wewe hutaki kupiga kura, nyinyi ndio mkipewa laki laki wale jamaa wanavikusanya vitambulisho vyenu wanaenda kusema mlipiga kula kumbe wamewapa laki laki kumbafuNimeelewa ila nipo nje ya mada
Kweli Ni Swala La Muda Tu Kila Mtu Atachanganyikiwa Kwa Wakati Wake😂😂😂😂😂😂 Labda ameamua kutoa yake ya moyoni tu
Au hajasoma na kuelewa
Uvccm ata kama umeishia darasa la 4 unaenda na wanatoa majina kimya kimya msitegemee kuona kwenye website wala sehemu yoyotetafuta ishu zingine ufanye kuna mkoa wanaenda kuanza hii feb watu wameliwa vichwa balaa nahisi wanaweka watu wao