ribart Focus
New Member
- Feb 10, 2025
- 2
- 4
Umeelewa swali?Kuna watu Bado mnawaza kwenda kupiga kura?
Unawaza kabisa kupanga foleni kupiga kura?
Mimi nakitaka kitambulisho cha kupigia kura ili niwe naombea mikopo mtandaoni
ππππ Labda ameamua kutoa yake ya moyoni tuUmeelewa swali?
Nimeelewa ila nipo nje ya madaUmeelewa swali?
Niuzie basi kitambulisho chako km wewe hutaki kupiga kura, nyinyi ndio mkipewa laki laki wale jamaa wanavikusanya vitambulisho vyenu wanaenda kusema mlipiga kula kumbe wamewapa laki laki kumbafuNimeelewa ila nipo nje ya mada
Kweli Ni Swala La Muda Tu Kila Mtu Atachanganyikiwa Kwa Wakati Wakeππππππ Labda ameamua kutoa yake ya moyoni tu
Au hajasoma na kuelewa
Uvccm ata kama umeishia darasa la 4 unaenda na wanatoa majina kimya kimya msitegemee kuona kwenye website wala sehemu yoyotetafuta ishu zingine ufanye kuna mkoa wanaenda kuanza hii feb watu wameliwa vichwa balaa nahisi wanaweka watu wao