Zoezi la uandikishaji wa wapiga kura (INEC) halijaamasishwa sana, isipokuwa kwa viongozi wa CCM waliwaambia wanachama wao wahakikishe wanapata kadi za kupiga kura.
.
Ni mpango kabambe vijana wengi wasijiandikishe ili zoezi la upigaji kura liwe rahisi kwa CCM.
Matangazo hayatolewa kwa wingi maeneo ya kujiandikisha. Zoezi linaendeshwa kimya kimya sana
Vijana wengi ambao ndio walengwa hawajui umuhimu wa kujiandikisha wapo wapo tu keyboard warriors
Soma Pia:
Je ni matukio haya ni bahati mbaya au ni mpango mkakati wa 2025?

- Vyama vya siasa hamasisheni wapiga kura wenu wajitokeze kujiandikisha au kuboresha taarifa zao katika daftari la kudumu la mpiga kura.
- Jaji Mwambegele: Mawakala wa Vyama vya Siasa wataruhusiwa kuwepo katika Vituo vya Kuandikisha Wapiga Kura
- Tanzania inatarajiwa kuwa na Wapiga Kura 34,746,638 watakaoandikishwa katika Daftari la Wapiga Kura
Je ni matukio haya ni bahati mbaya au ni mpango mkakati wa 2025?