Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura unaanza lini? Tulituma maombi ya kazi ila mpaka sasa kimya

Zoezi la uboreshaji wa Daftari la Mpiga Kura unaanza lini? Tulituma maombi ya kazi ila mpaka sasa kimya

Nyanda Banka

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2023
Posts
304
Reaction score
1,054
Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote.

Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
 
Back
Top Bottom