Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Labda katikati ya mwezi huu June, maana mosi July zoez litaanza Kigoma.Naomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote.
Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
Shukrani kwa taarifaLabda katikati ya mwezi huu June, maana mosi July zoez litaanza Kigoma.
Hapana hii kofia nimeivaa kutoka chuo kikuu cha Dar es salaamHyo kofia ulovaaa kwenye avatar ...... au bas ntakuja kummalizia sentensi yangu
Kwanini wasema ivoWananchi wengi wenye muamko wa kujiandikisha ni chadema,ccm wamezira
Watanganyika hawampendi yule bibiKwanini wasema ivo
Kwa mkoa wa Dar ni mwakaniNaomba kufahamu in lini hili zoezi linaanza rasmi kwakuwa tulishatuma maombi ya hii kazi ila mpaka sasa kimya na sisikii chochote.
Daah!!! Kweli ajira ni shida sana
Mtwara lini?Kwa mkoa wa Dar ni mwakani