TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
Uwazi kwenye malipo ni muhimu, unaweza kufikiria unawalipa vizuri kumbe pesa inaishia kwa diwani na watendaji wachache.Wasiliana na diwani pamoja na mtendaji bila kusahahu mwenyekiti wa mtaa watakupa maelezo konki. Maoni yangu kama mtaa umeanza kuwa msafi haina shida, nataman hata huku wafanye hvo ili mtaa uwe Safi. Uchafu ni kero na kiukwel wanaosafisha inabd walipwe hela nzuri.
Maswali yangu umeyaona lakini au umekimbilia ku comment tu?Wasiliana na diwani pamoja na mtendaji bila kusahahu mwenyekiti wa mtaa watakupa maelezo konki. Maoni yangu kama mtaa umeanza kuwa msafi haina shida, nataman hata huku wafanye hvo ili mtaa uwe Safi. Uchafu ni kero na kiukwel wanaosafisha inabd walipwe hela nzuri.
Huko kwenye 'mitaa yenu' ni wapi?Kwenye mitaa yetu hususa huku uswazi kuna zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji 3000/= mpaka 5000/= kila kaya
Umenena vyema,kitendo cha kutoa virisiti vya karatasi vilivyochapishwa mtaa wa gerezani vinatia shaka kwa kweli ,hata wananchi wanahoji utaratibu huu bila kupewa majibu.Tusije tukawa tunalikosesha Taifa mapato.Uwazi kwenye malipo ni muhimu, unaweza kufikiria unawalipa vizuri kumbe pesa inaishia kwa diwani na watendaji wachache.
Viva JPM Viva..!MITANO TENA
🤣🤣🤣
Hawatoi EFD hapo ndio ninapopata ukakasi kuhusu huu mtaa ..!Usafi muhimu sana.
Dai stakabadhi ya EFD, mitaa mingi hapa Far wanatoa bei hiyo hiyo na lazima wakupe hiyo kitu ya EFD kupitia zile mashine portable za POS.
TARURA, tra, traffic, Halmashauri, Nemc, TMDA, Serkali za mitaa, TCRA wote wanakusanya mapatoBaada ya mabeberu kukaza na pesa yao, Sirro ameagizwa ukusanyaji wa makosa ya barabarani ni lazima uongezeke. Kumbe na madiwani pia wamepewawmaelekezo.
Maswali yako nimeyaona, na hakuna wa kuweza kuyajibu humu labda awe kiongozi husika wa mtaani kwako, kwa sababu hzo tozo zipo chini ya serikali za mitaa hivyo madiwani, watendaji na wenyeviti wa mtaa ndo wanahusika kawaone watakupa maelezo, kama wamekosea utaratibu ukawawashie huko huko. Hizo tozo hazifanani Tanzania nzima kuna mitaa mingine wanatoza 1000, mingine 500.Maswali yangu umeyaona lakini au umekimbilia ku comment tu?
Hebu jifunze kuandika vizuri, naona una hoja ,lakini kuna makosa ya kisarufi mengi tu.MITANO TENA
🤣🤣🤣
Anyway, labda nikusaidie kuelewa: Mimi ni afisa afya hizo pesa kazi yake inaishia tu ofisi za mtendahi wa mtaa.
Ni kwaajili ya malipo ya pisho kwa mtendaji, pesa Kidogo ya kuleta gari, kuwaoipa xhawa wa mwenyekiti wanaokusanya pesa, afisa afya na diwani.
Hivyo kila mtaa wanahikusanyia pesa wanayoona inatosha.
Na ndiyo posho yao, hawana kazi nyingine ndio maana hata ukiwapa buku hawaachi🤣🤣🤣🤣
Halafu wote nchi nzima ni CCM.
Mitano Tena 🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi naishi Kwa Aziz Ally, wanakusanya buku 3 kwa kila familia, kila mwezi. Possibly labda ndio anakaa huku.Huko kwenye 'mitaa yenu' ni wapi?
Taja jina la mtaa kitongoji na kata tufahamu kwa uzuri.
Unafikiri nimelala hapa nilipo wewe mbuzi.Hebu jifunze kuandika vizuri, naona una hoja ,lakini kuna makosa ya kisarufi mengi tu.
Hebu tuliza mpira kiongozi.
Habari wadau,
Kwenye mitaa yetu hususa huku uswazi kuna zoezi la ukusanyaji taka ambalo wanachaji 3000/= mpaka 5000/= kila kaya kiukweli hii ni pesa nyingi sana ambayo serikali za mitaa/mkandarasi wa taka anakusanya cha ajabu ukilipa haupewi risiti ya electronic.
Ila point yangu ni:
Je, hili zoezi limepata baraka zote toka wizara husika na serikali kuu?
Je, Taifa halioni linapoteza mapato kupitia utaratibu huu wa ukusanyaji na utoaji wa risiti zisizo za electronic?
Je, ushirikishwaji wa wananchi kuhusu viwango vya kulipia ulifuatwa?
Asanteni
Sijui ni kwa nini maskini siku zote ndio wanaojikweza huku watu wenye maisha bora wanaaply low profile?Umenena vyema mkuu sisi huku mbezi tunalipa 10,000/=. Mitaa ni safi wala hatuna shida kabisa huwezi ona marundo ya takataka. Wapite mara moja, mara kumi ni none of our business, bali tunachotaka takataka zisiwepo mitaani. Full stop! Pia tunalipa 15,000/= kwa ajili ya ulinzi maisha yanaendelea!
Hao ndio wasiojua hata bei ya kilo ya unga .😂😂😂😂😂Sijui ni kwa nini maskini siku zote ndio wanaojikweza huku watu wenye maisha bora wanaaply low profile?
Huwa sielewi aisee, ona mpumbavu fukara kama huyu.