Cool
Senior Member
- Aug 5, 2009
- 115
- 53
Hivi karibuni Mh. Waziri Lukuvi ameagiza gharama za urasimishaji zisizidi Tzs.150,000 nchini kote. Ila Manispaa ya Iringa bado wanatoza Tzs.250,000 kwa sqm 400. Nimeona mama mmoja mnyonge ameshindwa kabisa kutoa hiyo hela. Swali langu ni kwamba hivi ni upigaji au ndo gharama zimebadilika?
Mwenye details jamani atujuze wakazi wa huku. Nahisi tunapigwa pesa na wajanja.
Mwenye details jamani atujuze wakazi wa huku. Nahisi tunapigwa pesa na wajanja.