Inapendeza sana,,, hii route ya Mtwara - Songea - Makambako - Iringa sio kitoto..
Halkadharikahii barabara ya Songea mpaka Makambako sijawahi ielewa, barabara ni nyembamba sana, ina viraka sana, Kona mbaya ni nyingi mno, miti mingi sana mpaka inatia giza in road