Enyampisakiniga
Member
- Jun 13, 2022
- 8
- 9
Wakati Waziri Nape akikabidhi taarifa ya utendeji wakuweka anuani za makazi.
Najaribu kuwaza kwa ukubwa zaidi nini atakuwa amemwambia Waziri Mkuu juu ya alichokuwa akikifanya na utekelezaji wa shughuli nzima kwa kuthaminisha utumiaji mzuri wa rasilimali za serikali na ni tija gani zimepatikana.
Kwa ufupi nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu hapa Dar maeneo mengi hayana vibao vya mitaa wala nyumba kuwekewa anuani za makazi japo ukaguzi wa awali ulishafanywa na watendaji kwa kuhainisha makazi ya watu na kutambua wapi pawekwe vibao na nyumba kupewa anuani (kwa maelekezo ya mdomo) lakini ukizunguka sehemu nyingi Dar es salaam (Ukiacha Ubungo wamejitahidi kiasi) hakuna hivyo vibao vya mitaa (Vipo vya zamani) waliojiwekea wanananchi pia kuna habari kuwa kuna sehemu kibao wananchi wanatozwa Kati ya Shilingi 8,000 hadi 10,000 kwa ajili ya kupewa vibao vya anuani ya makazi.
Kaka nape vipi hiyo chopa yako haikuwa na uwezo wa kutua Dar es Salaam? Na je kama Dar (jiji) la mfano limedorora itakuiwaje huko nje ya Dar?
Waziri Mkuu fanya utafiti wako binfsi hakika usimaii 100% taarifa (Report) ya NAPE