Zoezi lenye kuufanya uume usimame kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi

Hatari sn......hivi hata mababu zetu walikuwa wanafanya hivi? Cku hizi kila kitu cha kisasa hata chips za kisasa zipo mtaonaje hapo
 
kwa kutumia njia izo za mazoezi basi twaweza imarisha mahusiano yetu
 
Ndio babu zetu walikuwa wanavutana nyeti zao zinarefuka,soma vitabu utaona.

Ni muhimu sana kufanya mazoezi ya kurefusha na kudindisha kuliko six pack zisizosaidia
 
Cc

Captein

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]


 
Ukija ukigoma kwa misuli kukatika je?utakuta.
Je hakuna ZOEZI km hilo kwa WANAWAKE?
 
Mhhh mtihani sasa namwambiaje afanye haya mazoezi... Upande wa lishe labda,nimpe nini ale kuondoa hlo tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…