Zoezi lenye kuufanya uume usimame kwa muda mrefu na kuchelewa kukojoa wakati wa kufanya mapenzi

Pia kula sana bamia,maharagwe soya,Uji wa pilipili na pranut butter
 
wald wa kibamia kuongeza urefu vhukua asali asbh na jioni paka chukua majiya uvuguvugu nankitambaaa refusha mzigo kwakuukanda sadaka utaniona badaee
 
kiukwelil elimu huaribu uhalisia fulani kipindi nipo o level NGO's zilikuwa zikikazana kuwafundisha watu madhara ya ngono zembe. zilitufundisha kuwa punyeto ni ngono salama haya sasa tizama kinachowakuta watu sasa hivi .badala yake wamehamasisha watu kutumbukia kwenye baa la upungufu wa nguvu za kiume pasina wao kujitambua. Sifahamu wa sasa wanafanya kitu gani ili kuwaepusha vijana na UKIMWI na janga hili la ukosefu wa nguvu za kiume.
 
Nilisoma boys miaka sita lakini punyeto sikuwahi kufanya, zaidi nilikuwa na kademu kangu tangu tuko F2 hadi 6 na advance tulipangwa shule za jirani nilifaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Sasa tatizo lako chanzo chake ni kujichua ulivyojichua kilitokea kifuatacho

Mkono wako ni mgumu sana tofaut na uke kutokana na ugumu huo wa mkono ulileta madhara yafuatayo
......

Hiyo yote kisa ugumu wa mkono? Nikipiga puchu ila nikawa natumia ile midoli kupigia puchu hayo madhara uliyoainisha hapa hayatonipata?
 

Dokta mimi nina version tofauti ya jinsi homoni Testosteroni inavyofanya kazi.

Kazi yake ni kumpa mtu sifa za kiume mfano sauti, mwili kutanuka, kuota sharafa na ndevu na mambo mengine.

Ndiyo maana kwenye mazoezi ya unyanyuaji uzito hua kuna dawa baadhi hutumia ambazo huchochea uzalishwaji wa homoni ya testosteroni. Yaani namaanisha haihusiani na ngono hata kidogo ndiyo maana ingawa wanaweza kua wanatumia hizo dawa za kuboost testosteroni wengi hua na low libido.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…