Zoezi mubasharaaaaaaa!!

Wenzako wanacheza singeli unasema zoezi?? Hahaa
 
Kuishi pwani hasa uswahilini yataka moyo wachuma..vinginevyo utishia kulogwa ama kufa na ngwengwe..
 
Hivi hii ndo waga ban yenyewe ama!!

maana naona mkuu wameshampa haki yake!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…